Miriam Odemba

Mwanamitindo wa Tanzania

Miriam Odemba (amezaliwa tar. 19 Februari 1983, Arusha, Tanzania) ni mwanamitindo kutoka Tanzania. Kuwakilisha nchi yake katika mashindano ya Miss Earth 2008.[1]

Miriam Odemba

Amezaliwa Miriam Odemba

Marejeo

hariri
  1. "Miriam Odemba", An Exotic Tanzanian Beauty. Retrieved on 1-5-2014. 

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miriam Odemba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.