"Miss P." ni wimbo wa Cherish, ulitolewa ukiwa kama wimbo wa kwanza baada ya kufanya wimbo kwa mara yao ya kwanza na msanii Da Brat katika wimbo wake wa "In Luv Wit Chu". Wakaonekana kama wamevunja rekodi katika medani ya muziki, wimbo ulipata mafaniko kadha wa kadha, lakini albamu ya wimbo huu imetiwa kapuni kwa sababu zisizojulikana.

“Miss P.”
“Miss P.” cover
Single ya Cherish wakimshirikisha Da Brat
kutoka katika albamu ya The Moment
Imetolewa UK 3 Juni 2003 [1]
US 8 Julai 2003 [2]
Muundo Digital download, CD Single
Imerekodiwa 2003
Aina R&B, hip hop
Urefu 4:04
Studio Warner Bros.
Mwenendo wa single za Cherish
"In Luv Wit Chu"
(2003)
"Miss P."
(2003)
"Do It To It"
(2006)
Mwenendo wa single za Da Brat
"In Luv Wit Chu"
(2003)
"Miss P."
(2003)
"Boom"
(2003)

Orodha ya nyimbo

hariri

Single za US

  1. "Miss P." (wakimshirikisha Da Brat) - 4:04

Single za iTunes katika UKe

  1. "Miss P." (wakimshirikisha Da Brat) - 4:04
  2. "Miss P." - 2:50

Marejeo

hariri