Cherish
Cherish ni kundi la muziki wa R&B, pop, na hip hop kutoka nchini Marekani. Kundi linakusanya ndugu wanne wa kike ambao ni Farrah King (amezaliwa 17 Februari 1984), Neosha King (amezaliwa 26 Januari 1986), na wengine mapacha ni Felisha na Fallon King (waliozaliwa 5 Juni 1987). Ndugu hawa wanne wote kiasili wanatokea mjini Illinois, lakini baadaye walihamia mjini Atlanta kwa kwenda kujiendeleza kimuziki zaidi. Kundi lime saini mkataba na studi ya Capitol Records na Sho'nuff Records.
Cherish | |
---|---|
Asili yake | Atlanta, Georgia, Marekani |
Aina ya muziki | R&B, pop, dance-pop, hip hop |
Miaka ya kazi | 2003–hadi leo |
Studio | Capitol, Sho'nuff |
Ame/Wameshirikiana na | Jazze Pha, Da Brat |
Tovuti | www.cherishsisters.com |
Wanachama wa sasa | |
Farrah King Fallon King Felisha King Neosha King |
Shughuli za muziki
haririMuziki
haririAlbamu
haririMwaka | Maelezo | Nafasi iliyoshika | Mauzo na matunukio | |||
---|---|---|---|---|---|---|
U.S. | U.S. R&B | UK | JAP | |||
2003 | The Moment
|
— | — | — | — |
|
2006 | Unappreciated | 4 | 4 | 80 | 20 |
|
2008 | The Truth | 40 | 6 | — | 91 |
|
Single
haririMwaka | Wimbo | U.S. | U.S. R&B | U.S. pop | UK | NZ | JAP | Albamu |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2003 | "In Love wit Chu" (wamefanya na Da Brat) | 44 | 32 | — | 29 | 11 | — | The Moment |
"Miss P." (wakimshirikisha Da Brat) | — | 87 | — | — | — | — | ||
2006 | "Do It to It" (wakimshirikisha Sean Paul wa YoungBloodZ) | 12 | 10 | 9 | 30 | 3 | 10 | Unappreciated |
"Unappreciated" | 41 | 14 | 65 | 187 | — | 38 | ||
2007 | "Killa" (wakimshirikisha Yung Joc) | 39 | 53 | 23 | 52 | 18 | 45 | The Truth |
2008 | "Amnesia" | — | 61 | — | — | — | — |
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Official Cherish Website
- Cherish Official Myspace Page
- King-Sisters.com - The Ultimate Cherish Fan Site Archived 10 Aprili 2016 at the Wayback Machine.
- Official FaceBook profile
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cherish kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |