Missy Bo Kearns
Mchezaji wa mpira kutoka Uingereza
Missy Bo Kearns (alizaliwa 14 Aprili 2001)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Liverpool ya Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na nahodha wa timu ya Uingereza ya vijana chini ya umri wa miaka 23. [3]
Akiwa na Liverpool, yeye ni ameshinda ubingwa na pia ametunukiwa mara mbili mchezaji bora wa Kike wa msimu. Hapo awali Kearns aliiwakilisha Uingereza katika mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 na 19.[4]
Marejeo
hariri- ↑ "Missy Bo Kearns - Liverpool FC". www.liverpoolfc.com (kwa Kiingereza). 2024-04-04. Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
- ↑ "'I don't think it's sunk in that I'm a Liverpool player' - Reds star Missy Bo Kearns is living the dream | Goal.com Malaysia". www.goal.com (kwa Kiingereza). 2022-08-03. Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
- ↑ 161385360554578 (2023-11-01). "Liverpool star targeting England role like idol Steven Gerrard". talkSPORT (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
{{cite web}}
:|author=
has numeric name (help) - ↑ UEFA.com. "England-Cyprus | Women's Under-19 2020". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Missy Bo Kearns kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |