14 Aprili

tarehe
Mac - Aprili - Mei
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 14 Aprili ni siku ya 104 ya mwaka (ya 105 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 261.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Tibursi, Valeriani na Masimo, Bernika, Prosdoka na Domnina, Frontoni abati, Tasak, Tomais wa Aleksandria, Lamberti wa Lyon, Yohane wa Montemarano, Bernardo wa Tiron, Benedikto wa Avignon, Lidwina n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 14 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.