Mitsuhiro Sato (佐藤 光浩, Satō Mitsuhiro,alizaliwa 8 Januari 1980 huko Aizuwakakamatsu, Fukushima) ni mwanariadha mstaafu nchini Japani ambaye alibobea katika mbio za mita 400. Alimaliza wa nne katika mbio za 4 × 400 m zakupokezana kwenye Michezo ya Olimpiki ya mwaka 2004, pamoja na wachezaji wenzake Yuki Yamaguchi, Jun Osakada na Tomohiro Ito.Sato pia alishiriki katika mashindano ya dunia mnamo mwaka 2003, 2005 na 2007.Wakati wake bora zaidi wa kibinafsi ni sekunde 45.50, iliyopatikana Juni 2003 huko Yokohama.[1]

Marejeo

hariri
  1. "引退の佐藤をチームメートが胴上げ/陸上", 27 September 2009. (Japanese) 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mitsuhiro Sato kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.