Yokohama, Kanagawa
mji wa Japan, mji mkuu wa Mkoa wa Kanagawa
(Elekezwa kutoka Yokohama)
Yokohama (横浜市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Kanagawa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 3.7 wanaoishi katika mji huu.
Yokohama | |||
|
|||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kantō | ||
Mkoa | Kanagawa | ||
Idadi ya wakazi | |||
- | 3,668,939 | ||
Tovuti: www.city.yokohama.jp |
Tazama piaEdit
Viungo vya njeEdit
- Tovuti rasmi
- Port of Yokohama Archived Mei 23, 2009 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Yokohama, Kanagawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |