Fuzhou
(Elekezwa kutoka Mji ya Fuzhou)
Fuzhou (kwa Kichina: 福州) ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Fujian.
Fuzhou | |||
| |||
Nchi | China | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Fujian | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 6,600,000 | ||
Tovuti: www.fuzhou.gov.cn |
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, kuna wakazi wapatao milioni 6.6 wanaoishi katika mji huu.
Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Fuzhou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |