Mkeka ni kitu kama jamvi kinachoshonwa kutokana na kili na hutumika kwa kukalia au kutandika kitandani.

Pia mkeka huweza kutengenezwa kwa kili zilizonakshiwa kwa rangi mbalimbali.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkeka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.