Mkingili
(Flacourtia indica)
Mchongoma
Mchongoma
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Malpighiales (Mimea kama mwenda-usiku)
Familia: Salicaceae (Mimea iliyo mnasaba na mdara)
Jenasi: Flacourtia
Comm. ex L'Hér.)
Spishi: F. indica
(Burm.f.) Merr.

Mkingili, mkingii, mkingiri, mkingila, mcherewa, mchongoma, mgo au mgovigovi (Flacourtia indica) ni mti wenye miiba na majani madogo katika familia Salicaceae.

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkingili kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.