Mkoa wa Çanakkale
Çanakkale ni jina la mkoa uliopo katika kanda ya Marmara huko nchini Uturuki. Mkoa upo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi. Mkoa umechukua jina la mji wake mkuu wa Çanakkale.
Mkoa wa Çanakkale | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Çanakkale nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Marmara |
Eneo: | 9737 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 476,128 (TÜİK) TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 17 |
Kodi ya eneo: | 0286 |
Tovuti ya Gavana | http://www.çanakkale.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/çanakkale |
Wilaya za mkoani hapa
haririMkoa wa Çanakkale umegawanyika katika wilaya 12 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
hariri- Çanakkale governor's official website (Kituruki) / (Kiingereza)
- Çanakkale municipality's official website (Kituruki) / (Kiingereza)
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Çanakkale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |