Mkoa wa Adamawa
Mkoa wa Adamawa ni mmojawapo kati ya mikoa ya Kamerun. Jina lenyewe linadokeza mahali pake nchini, kwenye Adamawa Plateau, katikati ya nchi.
Mkoa huo una wakazi 1,200,095 (kadirio la mwaka 2015[1]) katika eneo la Km² 63,701.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Adamawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |