Mkoa wa Barcelona
Barcelona ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban milioni 5.5. Mji wake mkuu ni Barcelona.
Mkoa wa Barcelona | |||
| |||
Nchi | Hispania | ||
---|---|---|---|
Eneo | Cataluña | ||
Mji mkuu | Barcelona | ||
Eneo | |||
- Jumla | 7,733 km² | ||
Tovuti: http://www.diba.es/ |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Barcelona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |