Batha (Kiarabu: البطحة) ni mmoja wa mikoa 23 ya Chad. Huu ni mkoa unaopatikana katikati ya nchi. Umeundwa na kile kilichokuwa awali Batha Prefecture na marekebisho madogo ya mipaka.[1] Mji mkuu wa mkoa huu ni Ati. Takriban watu 527,031 wanaishi katika mkoa huu kwa kulingana na sensa ya mwaka 2009.

Ramani ya Betha.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Ordonnance n° 002/PR/08 portant restructuration de certaines collectivités territoriales décentralisées" [Ordinance No. 002/PR/08 on restructuring of certain decentralized local authorities]. Government of Chad. 19 Februari 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 4, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)


  Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.