Mkoa wa Bay
Bay (Kisomali: Baay, Kiarabu: باي, Kiitalia: Bai) ni mkoa wa kiutawala (gobol) uliopo kusini mwa Somalia.[1]
Maelezo ya jumlaEdit
Umepakana na mikoa mingine ya Somalia ambayo ni Bakool, Hiran, Lower Shebelle (Shabeellaha Hoose), Middle Juba (Jubbada Dhexe), na Gedo.
TanbihiEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |