Cádiz ni moja ya mikoa 8 ya Jimbo la Andalusia katika Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,230,594. Mji wake mkuu ni Cádiz.

Mkoa wa Cádiz
Mahali pa Mkoa wa Cádiz katika Hispania
Mahali pa Mkoa wa Cádiz katika Hispania
Mahali pa Mkoa wa Cádiz katika Hispania

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Hispania Hispania
Eneo Andalusia
Mji mkuu Cádiz
Eneo
 - Jumla 7,436 km²
Tovuti:  http://www.dipucadiz.es/

Tazama pia Edit

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Cádiz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.