Mkoa wa Castellón
mkoa wa
Castellón ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban 600,000. Mji wake mkuu ni Castellón de la Plana.
Mkoa wa Castellón | |||
![]() |
|||
| |||
Nchi | ![]() |
||
---|---|---|---|
Eneo | Comunidad Valenciana | ||
Mji mkuu | Castellón de la Plana | ||
Eneo | |||
- Jumla | 6,632 km² | ||
Tovuti: http://www.dipcas.es/ |
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Castellón kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |