Edirne ni jina la mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Kwa upande wa mashariki umepakana na mpaka wa kuingilia nchini Ugiriki.

Mkoa wa Edirne
Maeneo ya Mkoa wa Edirne nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Marmara
Eneo: 6,279 (km²)
Idadi ya Wakazi 382,222 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 22
Kodi ya eneo: 0284
Tovuti ya Gavana http://www.edirne.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/edirne

Wilaya za mkoani hapa

hariri

Mkoa wa Edirne umegawanyika katika wilaya 9 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Edirne kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.