Mkoa wa Kilis
Mkoa wa Kilis umezoeleka kuwa moja ya sehemu za kusini mwa mkoa wa Gaziantep na uliundwa mnamo mwaka wa 1994. Mji wa Kilis ni nyumbani kwa kiasi cha 67% ya wakazi wa mkoani, miji mingine na vijiji ni vidogo sana.
Mkoa wa Kilis | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Kilis nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia |
Eneo: | 1,642 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 114,724 (200) TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 79 |
Kodi ya eneo: | 0348 |
Tovuti ya Gavana | http://www.kilis.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/kilis |
Wilaya za mkoani hapa
haririMkoa wa Kilis umegawanyika katika wilaya 4 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungoi vya Nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kilis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |