Mkoa wa Konya
Konya ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Mji mkuu wa mkoa huu ni Konya. Huu ni mkoa mkubwa kabisa katika Uturuki kieneo.
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Konya nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 38,257 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 2,412,104 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 42 |
Kodi ya eneo: | 0332 |
Tovuti ya Gavana | http://www.konya.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/konya |
Wilaya za mkoani hapaEdit
Mkoa wa Konya umegawanyika katika wilaya 32 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya NjeEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Konya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |