Mkoa wa Kusini-Magharibi, Kamerun

Mkoa wa Kusini-Magharibi, Kamerun ni mmojawapo kati ya mikoa ya Kamerun. Jina lenyewe linadokeza mahali pake nchini.

Mkoa huo una wakazi 1,553,320 (kadirio la mwaka 2015[1]) katika eneo la Km² 25,410.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kusini-Magharibi, Kamerun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.