Nyanga ni moja kati ya mikoa tisa ya Gabon. Mji mkuu wa mkoa huu ni Tchibanga, ambao una wakazi takriban 14,500 kwa mwaka wa 2004 (kidogo ni zaidi ya theluthi moja ya jumla la wakazi wa mkoani hapa). Nyanga ni mkoa uliopo kusini sana mwa Gabon na pia ni mkubwa, una wakazi wachache na una maendeleo machache vilevile katika mikoa yote tisa ya nchini Gabon. Mkoa umepakana na Ogooué-Maritime kwa upande wa kaskazini-magharibi, Ngounié kwa upande wa kaskazini, na Kongo kwa upande wa kusini (Mkoa wa Kouilou) na kwa upande wa mashariki ni (Mkoa wa Niari).

Mkoa wa Nyanga
Mkoa wa Nyanga

Departments

hariri
 
Departments za Nyanga

Nyanga imegawanyika katik departments 4: