Mkoa wa Tarragona

Tarragona ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban 805,789. Mji wake mkuu ni Tarragona.

Mkoa wa Tarragona

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Hispania Hispania
Eneo Cataluña
Mji mkuu Tarragona
Eneo
 - Mkoa 6,303 km²
Tovuti: http://www.diputaciodetarragona.net/

Tazama piaEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tarragona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.