Mlayoka
(Ipomoea kituiensis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Solanales (Mimea kama mnavu)
Familia: Convolvulaceae (Mimea iliyo na mnasaba na kiazi kitamu)
Jenasi: Ipomoea
L.
Spishi: I. kituiensis
Vatke

Mlayoka au mruo (Ipomoea kituiensis) ni mmea wa familia Convolvulaceae unaotokea nchini Uhabeshi, Kenya, Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe. Mmea huu una maua meupe hadi njano yenye moyo mweusi. Katika Kenya unyweshaji wa mizizi hunywa na Wajaluo dhidi ya maumivu ya tumbo.

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mlayoka kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.