Mlima Asavyo

Asavyo (unajulikana pia kama Bara Ale) [1] ni mlima wenye tindikali nyingi za asili za stratovolikano ndani ya Ethiopia, inayounda sehemu ya Bidu Volcanic complex.

Iko katika umbali wa kilomita 20 kusini magharibi kwa volikano za Nabro na Mallahle. Asavyo ina upana wa kilomita 12.

Asavyo ni mlima wa tatu kati ya milima mikubwa yenye asili ya silikoni katika maeneo ya kusini magharibi na uliopo Kaskazini-Maghariki-Kusini Magharibi mwa Danaki. Una upana wa kilomita 12, tawi la kilele cha volkano. Lava za Basaltiki zinamwagika katika matawi ya Asavyo, yanayounganisha uwanda wa Mogorros kusini. Ingawa miaka ya volikano haijulikani kwa uhakika, Asavyo inatambulika kuwa ililipuka katika miaka ya 2000. (Jumuiya ya Kimataifa ya Elimu ya Volkano).

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Asavyo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.