Denali

(Elekezwa kutoka Mlima Denali)

Denali (jina la zamani "Mlima McKinley") ni mlima mrefu kuliko yote ya Amerika Kaskazini, ukiwa na kimo cha mita 6,190 juu ya usawa wa bahari.

Mlima Denali katika jimbo la Alaska.

Unapatikana katika jimbo la Alaska (Marekani).

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Denali kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.