Orodha ya milima

Orodha ya milima duniani inataja baadhi tu.

Milima iliyopita mita elfu nane juu ya usawa wa bahariEdit

Milima yote iliyofika mita elfu nane juu ya usawa wa bahari iko katika safu ya Himalaya:

Vilele vilivyo mbali zaidi na kiini cha DuniaEdit

Mlima Everest ndio mlima mrefu zaidi duniani, lakini si wenye kilele cha mbali zaidi kutoka katikati mwa dunia, kwa sababu ya kujikunja kwa Ikweta.

Nafasi Mlima Kimo juu ya
kitovu cha Dunia
kwa mita
Mita juu ya
usawa wa bahari
Nchi
1. Chimborazo 6,384.557 &0000000000006267.0000006,267 Ekwador
2. Huascaran 6,384.552 &0000000000006768.0000006,768 Peru
3. Cotopaxi 6,384.190 &0000000000005897.0000005,897 Ekwador
4. Kilimanjaro 6,384.134 &0000000000005895.0000005,895 Tanzania
5. Cayambe 6,384.094 &0000000000005796.0000005,796 Ekwador
6. Mount Everest 6,382.414 &0000000000008848.0000008,848 Nepal

Ncha saba za mabaraEdit

Milima mirefu zaidi katika kila bara ni:

Kilele Mwinuko (mita) Bara Safu Nchi
Kilimanjaro (Kibo) 5,895 (futi 19,341) Afrika Kilimanjaro Tanzania
Vinson Massif 4,892 (futi 16,498) Antaktika Milima Ellsworth
Puncak Jaya (Piramidi Carstenz) 4,884 (futi 16,024) [1] Oceania Sudirman Range Indonesia
Everest 8,848 (futi 29,035) Asia Himalaya Nepali
Elbrus 5,642 (futi 18,510) Europa Kaukazi Urusi
Denali (McKinley) 6,194 (futi 20,320) Amerika ya Kaskazini Alaska Range Marekani
Aconcagua 6,961 (futi 22,841) Amerika ya Kusini Andes Ajentina

Milima kwa bara au eneoEdit

AfrikaEdit

Amerika ya KaskaziniEdit

KanadaEdit

Mingine michache

GreenlandEdit

MarekaniEdit

A
B
C
D
E
F
G
H
I
J
K
L
M
N
O
P
Q
R
S
T
U
V
W
X
Y
Z

MexicoEdit

Amerika ya Kati na AntiliEdit

Amerika ya KusiniEdit

Milima ya AndesEdit

Cordillera de la Costa, VenezuelaEdit
Andes ya KolombiaEdit
Cordillera Occidental, EcuadorEdit
Cordillera Real, EcuadorEdit
Milima ya Interandino, EcuadorEdit
Andes ya PeruEdit
Cordillera Real, BoliviaEdit
Andes ya KusiniEdit

Nyanda za juu za BrazilEdit

Miinuko ya GuyanaEdit

AntaktikaEdit

AsiaEdit

HimalayaEdit

KarakoramEdit

Hindu KushEdit

Asia ya MasharikiEdit

Bara Hindi na Sri LankaEdit

Asia ya KusiniEdit

Rekodi ya Kitaifa

Rekodi kieneo

Mingine

Indonesia [1]Edit

Milima mingine mbalimbaliEdit

OceaniaEdit

AustraliaEdit

HawaiiEdit

New ZealandEdit

Milima mirefu zaidi:

  1. Aoraki (Mlima Cook) – m 3,754 - kisiwa cha kusini - mlima mrefu kuliko yote ya New Zealand
  2. Mlima Tasman – m 3,497
  3. Mlima Dampier – m 3,440
  4. Mlima Vancouver – m 3,309
  5. Mlima Silberhorn – m 3,300
  6. Malte Brun – m 3,198
  7. Mlima Hicks – m 3,198
  8. Mlima Lendenfeld – m 3,194
  9. Mlima Graham – m 3,184
  10. Torres Peak – m 3,160
  11. Mlima Sefton – m 3,151
  12. Mlima Teichelmann – m 3,144
  13. Mlima Haast – m 3,114
  14. Mlima Elie de Beaumont – m 3,109
  15. Mlima La Perouse – m 3,078
  16. Mlima Douglas – m 3,077
  17. Mlima Haidinger – m 3,070
  18. Mlima Magellan – m 3,049
  19. Mlima Malaspina – m 3,042
  20. Mlima Minarets – m 3,040
  21. Mlima Tititea (Aspiring) – m 3,033
  22. Mlima Hamilton – m 3,025
  23. Mlima Dixon – m 3,004
  24. Mlima Glacier – m 3,002
  25. Mlima Chudleigh – m 2,966
  26. Mlima Haeckel – m 2,965
  27. Mlima Drake – m 2,960
  28. Mlima Darwin – m 2,952
  29. Mlima Aiguilles Rouges – m 2,950
  30. Mlima De La Beche – m 2,950

Milima mingine maarufu:

Papua Guinea MpyaEdit

UlayaEdit

AlpiEdit

Angalia pia: Alpi, Orodha ya milima ya Alpi

ApeniniEdit

Yote iko nchini Italia: ile iliyozidi mita 1,000 juu ya UB imeorodheshwa hapa chini kufuatana na urefu wake.

Jina Urefu
Corno Grande
(Gran Sasso d'Italia)
2,912 m (9,554 ft)
Monte Amaro
(Majella)
2,793 m (9,163 ft)
Monte Velino 2,486 m (8,156 ft)
Monte Vettore 2,476 m (8,123 ft)
Pizzo di Sevo 2,419 m (7,936 ft)
Monte Meta 2,241 m (7,352 ft)
Monte Terminillo 2,217 m (7,274 ft)
Monte Sibilla 2,173 m (7,129 ft)
Monte Cimone 2,165 m (7,103 ft)
Monte Cusna 2,121 m (6,959 ft)
Montagne del Morrone 2,061 m (6,762 ft)
Monte Prado 2,053 m (6,736 ft)
Monte Miletto 2,050 m (6,730 ft)
Alpe di Succiso 2,017 m (6,617 ft)
Monte Pisanino 1,946 m (6,385 ft)
Corno alle Scale 1,915 m (6,283 ft)
Monte Alto 1,904 m (6,247 ft)
La Nuda 1,894 m (6,214 ft)
Monte Maggio 1,853 m (6,079 ft)
Monte Maggiorasca 1,799 m (5,902 ft)
Monte Giovarello 1,760 m (5,770 ft)
Monte Catria 1,701 m (5,581 ft)
Monte Gottero 1,640 m (5,380 ft)
Monte Pennino 1,560 m (5,120 ft)
Monte Nerone 1,525 m (5,003 ft)
Monte Fumaiolo 1,407 m (4,616 ft)

BalkaniEdit

KarpatiEdit

KaukaziEdit

KuproEdit

UjerumaniEdit

Rasi ya IberiaEdit

IcelandEdit

No Mlima Sehemu ya Nchi Kimo
1. Hvannadalshnjúkur m 2,111
2. Bárðarbunga m 2,000
3. Kverkfjöll m 1,920
4. Snæfell m 1,833
5. Hofsjökull m 1,765
6. Herðubreið m 1,682
7. Eiríksjökull m 1,675
8. Eyjafjallajökull m 1,666
9. Tungnafellsjökull m 1,540
10. Kerling m 1,538

IrelandEdit

ScandinaviaEdit

UfiniEdit
No Mlima Nchi sehemu Kimo
1. Halti Lappi / Finnmark m 1,324
2. Ridnitsohkka Lappi m 1,317
3. Kiedditsohkka Lappi m 1,280
4. Kovddoskaisi Lappi m 1,240
5. Ruvdnaoaivi Lappi m 1,239
6. Loassonibba Lappi m 1,180
7. Urtasvaara Lappi m 1,150
8. Kahperusvaarat Lappi m 1,144
9. Aldorassa Lappi m 1,130
10. Kieddoaivi Lappi m 1,100
NorweiEdit

Norwei ina vilele 185 juu ya m 2,000[4]

No Mlima Manispaa Kimo
1. Galdhøpiggen Lom m 2,469
2. Glittertind Lom m 2,465
3. Store Skagastølstinden (Storen) Luster / Årdal m 2,405
4. Store Styggedalstinden, mashariki mwa kilele Luster m 2,387
5. Store Styggedalstinden, magharibi mwa kilele Luster m 2,380
6. Skardstinden Lom m 2,373
7. Veslepiggen (Vesle Galdhøpiggen) Lom m 2,369
8. Store Surtningssui Lom / Vågå m 2,368
9. Store Memurutinden, mashariki mwa kilele Lom m 2,366
10. Store Memurutinden, magharibi mwa kilele Lom m 2,364
UswidiEdit

Uswidi una vilele 12 juu ya urefu wa mita 2,000.

Np. Mlima Landskap Kimo
1. Kebnekaise, kilele cha kusini Lappland m 2,104
2. Kebnekaise, kilele cha kaskazini Lappland m 2,097
3. Sarektjåkkå Lappland m 2,089
4. Kaskasatjåkka Lappland m 2,076
5. Sarektjåkkå, kilele cha kaskazini Lappland m 2,056
6. Kaskasapakte Lappland m 2,043
7. Sarektjåkkå kilele cha kusini Lappland m 2,023
8. Akka, Stortoppen Lappland m 2,016
9. Akka, Nordvästtoppen Lappland m 2,010
10. Sarektjåkkå, Buchttoppen Lappland m 2,010
11. Pårtetjåkkå Lappland m 2,005
12. Palkattjåkkå Lappland m 2,002

Kilele kingine cha Uswidi

UingerezaEdit

kwa ainaEdit

Visiwa vya katikati ya Bahari (ukiondoa Iceland na Oceania)Edit

Bahari ya AtlantikiEdit

Bahari ya AktikiEdit

Bahari ya HindiEdit

Angalia piaEdit

MarejeoEdit