Mlima Great Domberg
Mlima Great Domberg (kwa sasa unajulikana kama Mlima Sakila) uko katika wilaya ya Meru, mkoa wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania.
Kimo chake ni mita 1,551 juu ya usawa wa bahari.
Watu wa madhehebu tofauti ya Kikristo kutoka Tanzania na nje ya Tanzania hupanda kileleni kufanya maombi na dua. Mara zote kunakuwa na watu makundi kwa makundi wakiwa wanasali, kumuomba Mungu wakiamini watapata majibu ya mahitaji wanayokusudia.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Great Domberg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |