Mlima Jamimbi

Mlima Jamimbi (pia Chamembe) ni mrefu zaidi kati ya Milima ya Kipengere (kwa Kiingereza: "Kipengere Range" au "Livingstone Mountains") ambayo iko kusini magharibi mwa Tanzania kwenye ncha ya kaskazini ya Ziwa Malawi.

Mlima Jamimbi uko 9° 41' S na unashuka moja kwa moja ziwani.

Kilele chake kiko mita 2,925 juu ya usawa wa bahari.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit