Mlima Tajumulco
Mlima Tajumulco ni mlima wa volikano nchini Gwatemala; ndio mrefu zaidi kati ya milima ya Amerika ya Kati.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Tajumulco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |