Mnara wa Uhuru ni kivutio cha watalii jijini Dar es Salaam, Tanzania.[1]

Mnara wa Uhuru, wakati wa mchana.

Ni mnara mweupe wenye mfano wa mwenge wa uhuru uliowekwa juu yake.[2] Ipo katika Hifadhi ya Mnazi Mmoja katikati ya jiji na imezungukwa na uzio.[3]

Picha hariri

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Ronald Aminzade (31 October 2013). Race, Nation, and Citizenship in Post-Colonial Africa: The Case of Tanzania. Cambridge University Press. ku. 126–. ISBN 978-1-107-04438-8.  Check date values in: |date= (help)
  2. Insight Guides (15 December 2013). Insight Guides: Tanzania & Zanzibar. APA. ku. 288–. ISBN 978-1-78005-690-6.  Check date values in: |date= (help)
  3. Patrick A. Desplat; Dorothea E. Schulz (March 2014). Prayer in the City: The Making of Muslim Sacred Places and Urban Life. transcript Verlag. ku. 162–. ISBN 978-3-8394-1945-8.  Check date values in: |date= (help)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mnara wa Uhuru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.