Mnara wa taa wa Ulenge
Mnara wa taa wa Ulenge uko katika kisiwa cha Ulenge, Mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa Tanzania. Ulijengwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwaka wa 1894[1].
Karibu na mnara wa taa, kulikuwa na jengo la kupata nafuu na kupona baada ya udhaifu uliosababishwa na ugonjwa uliowapata Wazungu[2].
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ "Lighthouses of Tanzania". www.ibiblio.org.
- ↑ "Deutsche Kolonialzeitung : Organ der Deutschen Kolonialgesellschaft". 8 Des 1922 – kutoka sammlungen.ub.uni-frankfurt.de.