Mo Yan (amezaliwa 17 Februari, 1955 chini ya jina la Guan Moye) ni mwandishi kutoka nchi ya Uchina. Hasa ameandika riwaya na hadithi fupi. Mwaka wa 2012 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Mo Yan mwaka 2008

Maandishi yake

hariri
  • 红高粱家族 ("Mtama Mwekundu", 1987, riwaya tano)
  Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mo Yan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.