Modi'in-Maccabim-Re'ut

Modi'in-Maccabim-Re'ut ni mji wa Israeli.

Idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa 93,277 (2019)[1].

Ndio mahali pa asili ya Wamakabayo na ya vita vyao vya ukombozi.

Marejeo Edit

  1. "Population in the Localities 2019" (XLS). Israel Central Bureau of Statistics. Retrieved 16 August 2020.