Modi (Takwimu)

Katika takwimu, modi ya sampuli ya data ni thamani x ambayo inatokea mara nyingi zaidi.

Modi, kati na wastani.Kwa mfano, katika sampuli ya data hii 1,3,3,5,7,8,9;15,18,3,30 modi ni "3" kwa hyvio namba "3" inatokea mara nne.


Kama wastani na kati, modi ni kipimo cha mwelekeo wa kati.


Kwa programu ya takwimu REdit

Ili mtafute modi kwa lugha ya programu ya takwimu R mandike :

SampuliYangu<- c(7, 4, 3, 6, 9, 2, 9, 13, 9, 9)

library(modeest)

mlv(SampuliYangu, method = "mfv")

Mode (most likely value): 9

Bickel's modal skewness : -0.1

Call: mlv.default(x = SampuliYangu, method = "mfv")

MarejeoEdit

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.