Mohamed Abdi Affey

Mohamed Abdi Affey (alizaliwa 1968) ni mwanasiasa wa Kenya ambaye kwa sasa anahudumu kama mjumbe maalumu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) katika pembe ya Afrika na mjumbe maalum wa zamani wa UNHCR katika hali mbalimbali za wakimbizi nchini Somalia. [1]

Mohamed Abdi Afey katika hafla ya kutia saini kuundwa kwa jimbo la shirikisho la Hiran la Somalia na Shabelle ya Kati huko Mogadishu, Somalia, Agosti 8, 2015.

Marejeo

hariri
  1. Busuri, Abdullahi. "IGAD - IGAD Appoints a New Somalia Envoy". (en-gb)