Mohamed El Badraoui
Mohamed El Badraoui (alizaliwa 27 Juni 1971, huko Beni Mellal) ni Nyota wa soka wa Morocco kwa wakati huo, ambaye alikuwa mshambuliaji wa kulipwa akiichezea klabu kadhaa nchini Turkey na timu ya taifa ya Morocco.
Senior career* | |||
---|---|---|---|
Miaka | Timu | Apps† | (Gls)† |
1996–1998 | Espérance | ||
1998–1999 | Erzurumspor | 13 | (5) |
1999–2000 | Bursaspor | 5 | (1) |
2000–2001 | Adanaspor | 13 | (3) |
Timu ya Taifa ya Kandanda | |||
– | Morocco | ||
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only. † Appearances (Goals). |
El Badraoui alikuwa akichezea Erzurumspor, Bursaspor na Adanaspor katika ligi kuu ya Kituruki, Süper Lig.[1] Pia alikuwa akichezea Espérance Sportive de Tunis[2] wakati wa ushindi wao wa Kombe la CAF mwaka 1997.[3]
Alicheza mechi mbili na timu ya taifa ya Morocco katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto 1992.[4] El Badraoui alicheza mechi kadhaa kwa timu ya taifa, ikiwa ni pamoja na kushiriki katika Kombe la Mataifa ya Afrika 2000.[5]
Marejeo
hariri- ↑ "MOHAMED EL BADRAOUI - Player Details TFF". tff.org. Iliwekwa mnamo 2018-05-14.
- ↑ "Les Marocains de Tunisie", 2 Desemba 2004. Retrieved on 2023-06-11. Archived from the original on 2009-05-25.
- ↑ "African Club Competitions 1997". RSSSF. Iliwekwa mnamo 2018-05-14.
- ↑ Mohamed El Badraoui FIFA competition record
- ↑ "African Nations Cup 2000". RSSSF. Iliwekwa mnamo 2018-05-14.
Viungo vya nje
hariri- Mohamed El Badraoui at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mohamed El Badraoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |