Mohamed Rouicha
Mohamed Rouicha (Kiarabu: محمد رويشة; 1950 - 17 Januari 2012) alikuwa mwimbaji wa Morocco.[1] [2]Nyimbo zake mara nyingi huwa na mada kama vile mapenzi na maisha nchini Moroko. [3] Nyimbo zake maarufu zaidi ni Ya lehbiba, bini w'binek darou lehdouden na Inas inas.[4]
Mohamed Rouicha | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Mohamed Rouicha |
Alizaliwa | 1950,Khenifra Moroko |
Alikufa | 2012 Khenifra Moroko |
Nchi | Moroko |
Kazi yake | Mwanamuziki |
Alikuwa msanii maarufu wa Amazigh, mshairi, mwimbaji, mtunzi na mwanamuziki.Rouicha" lilikuwa jina la utani ambalo lilimaanisha "tuchanganyie kitu" kwa ki Tamazight, ambao ulikuwa ni msemo marafiki zake walikuwa wakiusema wanapotaka ajiunge na kucheza wimbo mpya papo hapo. Alijua chombo cha "loutar".
Marejeo
hariri- ↑ Staff Writer-Morocco World News. "Video: Hamza Namira Sings Moroccan Rouicha's Inas Inas". https://www.moroccoworldnews.com/ (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-30.
{{cite web}}
: External link in
(help)|work=
- ↑ "Festival Fès 2004". web.archive.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-10-24. Iliwekwa mnamo 2022-04-30.
- ↑ "Le chanteur amazigh Mohamed Rouicha est mort | Demain". web.archive.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-19. Iliwekwa mnamo 2022-04-30.
- ↑ "Mohamed Rouicha", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-02-28, iliwekwa mnamo 2022-04-30