Moni Bilé

Mwanamuziki wa Kamerun

Moni Bilé (Amezaliwa Agosti 1957) ni mwanamuziki wa Kameruni.[1] Alikuwa mtumbuizaji bora na muuzaji bora wa muziki wa makossa miaka ya 1980.[2] Na albamu yake ya Amour & Espérance ilitambulika kimataifa na kuitangaza aina yake ya muziki.[3]

Marejeo

hariri
  1. Colin Larkin, mhr. (1992). The Guinness Encyclopedia of Popular Music (tol. la First). Guinness Publishing. uk. 245. ISBN 0-85112-939-0.
  2. Hudgens and Trillo, p. 1183
  3. West, p. 19
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moni Bilé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.