Montoku wa Japani
Montoku (22 Januari, 826 – 7 Oktoba, 858) alikuwa mfalme mkuu wa 55 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Michiyasu, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Ninmyo. Mwaka wa 850 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Seiwa.
Angalia pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Montoku wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |