Morioka, Iwate
Morioka (盛岡市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Iwate. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 300 000 wanaoishi katika mji huu.
Morioka | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Tōhoku | ||
Mkoa | Iwate | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 298,185 | ||
Tovuti: www.city.morioka.iwate.jp |
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Morioka, Iwate kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |