Moses Orshio Adasu (12 Juni 194520 Novemba 2005) alikua gavana wa Jimbo la Benue, Nigeria, kuanzia 2 Januari 1992, alichaguliwa kupitia chama cha Social Democratic Party (SDP).

Aliacha ofisi baada ya mapinduzi ya kijeshi ya Novemba 1993 ambapo Jenerali Sani Abacha alichukua madaraka.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Fr Alia And Tempering Expectations By Sesugh Akume". Sahara Reporters. 2023-03-04. Iliwekwa mnamo 2023-06-06.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moses Adasu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.