20 Novemba
tarehe
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Novemba ni siku ya 324 ya mwaka (ya 325 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 41.
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
- 1761 - Papa Pius VIII
- 1858 - Selma Lagerlof, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1909
- 1886 - Karl von Frisch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973
- 1923 - Nadine Gordimer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1991
- 1940 - Arieh Warshel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2013
- 1942 - Joe Biden, Kaimu Rais wa Marekani
- 1982 - Rémi Mathis, mwanahistoria kutoka Ufaransa
WaliofarikiEdit
- 1918 - John Bauer, mchoraji kutoka Uswidi
- 1945 - Francis William Aston, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1922
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Basili wa Antiokia, Krispino wa Ecija, Dasio wa Silistra, Oktavi, Solutori na Aventori, Silvesta wa Chalon, Gregori wa Dekapoli, mfalme Edmund, Benwadi, Fransisko Saveri Can n.k.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |