Mosi Alli (alizaliwa 3 Julai 1961) ni mwanariadha wa zamani wa Tanzania.

Mossi Alli
Nchi Tanzania

Alishiriki mashindano ya riadha ya Olimpiki mwaka 1980 katika mbio za mita 100 kwa upande wa wanawake. [1]

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-18. Iliwekwa mnamo 2018-06-20.  Unknown parameter |= ignored (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mosi Alli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.