3 Julai
tarehe
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Julai ni siku ya 184 ya mwaka (ya 185 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 181.
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
- 1442 - Go-Tsuchimikado, mfalme mkuu wa Japani (1464-1500)
- 1876 - Ralph Barton Perry, mwandishi na mwanafalsafa kutoka Marekani
- 1883 - Franz Kafka, mwandishi wa Kijerumani kutoka milki ya Austria-Hungaria
- 1930 - Tommy Tedesco, mwanamuziki kutoka Marekani
WaliofarikiEdit
- 683 - Mtakatifu Papa Leo II
- 1971 - Jim Morrison, mwanamuziki wa Marekani
- 2008 - Levy Mwanawasa, Rais wa tatu wa Zambia (2001-2008)
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Mtume Thoma, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Anatoli wa Laodikea, Memno na Severo, Marko na Musiani, Eliodori wa Altino, Papa Leo II, Yosefu Nguyen Dinh Uyen, Filipo Phan Van Minh, Petro Zhao Mingzhen, Yohane Mbatizaji Zhao Mingxi n.k.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |