Mota ni kisiwa cha Vanuatu, kimojawapo cha Visiwa vya Banks. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Vanua Lava. Eneo la kisiwa ni 9.5 km². Kuna vijiji saba vidogovidogo kisiwani tu. Mwaka wa 2009 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 683. Watu wakaao kisiwani kwa Mota huongea Kimota.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.