Visiwa vya Banks
Visiwa vya Banks ni funguvisiwa upande wa kaskazini wa nchini Vanuatu. Baadhi yao ni visiwa vya Gaua, Vanua Lava, Ureparapara, Mota Lava, Mota, Merig na Mere Lava. Viko upande wa kaskazini wa kisiwa cha Maewo. Eneo la visiwa vya Banks kwa jumla ni 780 km². Mwaka wa 2009 idadi ya watu visiwani imehesabiwa kuwa 8533.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|