Mota Lava ni kisiwa cha Vanuatu, kimojawapo cha Visiwa vya Banks. Kiko upande wa kaskazini-mashariki wa kisiwa cha Vanua Lava. Eneo la kisiwa ni 24 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Lahlap. Mwaka wa 2009 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 1640. Watu wakaao kisiwani kwa Mota Lava huongea hasa Kimwotlap.

Kisiwa cha Mota Lava
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.