Mouha Oulhoussein Achiban

Mwimbaji na mcheza dansi wa Kimorocco (1916-2016).

Mouha Oulhoussein Achiban (pia hujulikana kama Oulhoucine au Oulhouceine, El Kbab, 1916 – El Kbab, 19 Februari 2016) alikuwa mwimbaji na mcheza dansi wa Amazigh kutoka Moroko.

Mouha Oulhoussein Achiban

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mouha Oulhoussein Achiban kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.