Moussa Camara
Moussa Camara (amezaliwa 27 Novemba 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Guinea, anayecheza nafasi ya Golikipa. Anaitumikia timu ya taifa ya Guinea na kuanzia msimu wa 2024/25 alisajiliwa na klabu ya Simba S.C..
Maelezo binafsi | |||
---|---|---|---|
Jina kamili | Moussa Pinpin Camara | ||
tarehe ya kuzaliwa | 27 Julai 1998 | ||
mahali pa kuzaliwa | Siguiri, Guinea | ||
Maelezo ya klabu | |||
Klabu ya sasa | Simba S.C. | ||
Senior career* | |||
Miaka | Timu | Apps† | (Gls)† |
2014 - 2015 | Milo FC | ||
2015 - 2024 | Haroya | ||
2024 - | Simba S.C. | ||
Timu ya Taifa ya Kandanda‡ | |||
– | Guinea | 27 | |
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only. † Appearances (Goals). |
Hatua ya Klabu
haririKabla ya kujiunga na Klabu ya Milo FC, Camara aliitumikia klabu ya FC Kolombada inayoshiriki ligi daraja la kwanza.[1] Mwaka 2015, alijiunga ba Horoya AC akiwa kama Golikipa namba mbili, wakati huo Khadim N'Diaye alikua ndiye Golikipa namba moja.[2] Wakati huo alikua chini ya Kémoko Camara ambaye ni Kocha wa magolikipa.
Kwa mara ya kwanza, Camara alicheza mchezo wa kimashindano dhidi ya Klabu ya Esperense de Tunis kwenye msimu wa Klabu Bingwa Afrika wa 2018-19, hii ni baada ya magolikipa wakongwe N'Diaye na Germain Berthé kuumia. Ijapokua aliruhusu kufungwa magoli mawili, alionyesha kiwango cha hali ya juu sana.
Tanbihi
hariri- ↑ "MOUSSA CAMARA, PROMIS À UN BEL AVENIR" (kwa Kifaransa). Horoya AC. 4 Oktoba 2019. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Super Coupe : découvrez les compos", foot224.co, 5 December 2015. Retrieved on 3 November 2020. (fr)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Moussa Camara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |